Matukio : Naibu Waziri, Dk. Kolimba Apokea Nakala za Utambulisho za Mabalozi Wateule kutoka Ethiopia na Vietnam - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


31 Mar 2017

Matukio : Naibu Waziri, Dk. Kolimba Apokea Nakala za Utambulisho za Mabalozi Wateule kutoka Ethiopia na VietnamNaibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Susan Kolimba akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam nchini, Mhe. Nguyen Kim Doanh. Tukio hilo limefanyika Wizarani tarehe 30 Machi, 2017


Dkt. Kolimba akizungumza na Balozi Mteule wa Vietnam, Mhe. Nguyen Kim Doanh mara baada ya kupokea nakala zake za hati za utambulisho

Balozi Mteule Mhe. Nguyen Kim Doanh naye akizungumza.

Dkt. Kolimba na Balozi Mteule Mhe. Nguyen Kim Doanh wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Magabilo Murobi na Afisa kutoka Ubalozi wa Vietnam nchini
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Susan Kolimba akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ethiopia nchini, Mhe. Dina Mufti Sid.Tukio hilo lilifanyika Wizarani tarehe 30 Machi, 2017.

Dkt. Kolimba akizungumza na Balozi Mteule wa Ethiopia nchini, Mhe. Dina Mufti Sid.
Picha ya pamoja.

Post Top Ad