Tuzo : Waziri , Nape Nnauye apongeza Tuzo za EATV, Dj Bonny Love apewa Tuzo ya Heshima - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


11 Dec 2016

Tuzo : Waziri , Nape Nnauye apongeza Tuzo za EATV, Dj Bonny Love apewa Tuzo ya Heshima

Salama Jabir....

Vanessa Mdee....
Waziri Nape akipongeza kwa kuanzisha kwa Tuzo za kituo cha Televisheni cha Afrika Mashariki (EATV AWARDS 2016) . Picha zote na Michuzi Media Group.
Waziri Nape akitoa Tuzo ya Heshima kwa Dj Bonny Love kwa mchango wake mkubwa kwenye vyombo vya Habari nchini

Dj Bonny Love akipongezana na Dj John Dilinga Dj JD "the Legend"Lady Jay Dee akitoa neno la Shukrani..


Post Top Ad