Katibu
Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid
Yahya Mzee (katikati) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Idara mbali
mbali za Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo katika
kikao kilichohusu masuala ya utendaji wa kazi za kila siku katika
ukumbi wa Jumba la Wananchi Forodhani
Katibu
Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid
Yahya Mzee (katikati) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Idara mbali
mbali za Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika kikao
kilichozungumzia masuala ya utendaji wa kazi za kila siku
kilichofanyika leo katika ukumbi wa Jumba la Wananchi Forodhani,[Picha
na Ikulu.] 17/11/2016.
Mkurugenzi
wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Nd,Hassan Khatibu Hassan akitoa mchango
wake wakati wa kikao cha siku moja kilichozungumzia masuala ya
uwajibikaji katika kazi za kila siku chini ya Mwenyekiti wake Katibu
Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya
Mzee (hayupo pichani),kilichofanyika leo ukumbi wa Jumba la Wananchi
Forodhani,(kushoto) Mkurugenzi Mipango wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Nd,Mwadini Haji [Picha na Ikulu.] 17/11/2016.
Mwandishi
wa Rais wa Zanzibar Nd,Said Ameir akichangia wakati wa kikao cha
watendaji mbali mbali wa idara zilizo katika Ofisi ya Rais na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi,kilichozungumzia zaidi utendaji wa kila siku
katika ukumbi wa Jumba la Wananchi Forodhani leo chini ya Mwenyekiti
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi
Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee(hayupo pichani) [Picha na Ikulu.] 17/11/2016.
Watendaji
mbali mbali wa idara zilizo katika Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi,wakiwa katika kikao cha siku moja kilichozungumzia
zaidi utendaji wa kazi za kila siku katika ukumbi wa Jumba la Wananchi
Forodhani leo, chini ya Mwenyekiti Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na
Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee(hayupo pichani) [Picha
na Ikulu.] 17/11/2016.
No comments:
Post a Comment