Mrakibu
Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi (wapili
kushoto) akizungumza na wazazi waliozaa watoto njiti kabla ya Jeshi
kuwapa misaada mbalimbali kwa ajili ya kusaidia malezi ya watoto hao
waliozaliwa katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es
Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa
kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto
njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni.
Wapili kulia(aliyebeba zawadi) ni Kamishna Msaidizi wa Jeshi hilo, Maria
Kulaya. Picha zote na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Kamishna
Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria Kulaya (kushoto) na
Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi
wakimkabidhi msaada wa soksi na kofia mzazi aliyejifungua mtoto njiti,
Fausta Jison katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es
Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa
kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto
njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni.
Kulia ni Mariam Juma ambaye naye alijifungua mtoto wa aina hiyo katika
hospitali hiyo. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Kamishna
Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria Kulaya (kushoto) na
Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi
wakimkabidhi msaada wa soksi na kofia mzazi aliyejifungua mtoto njiti,
Mariam Juma katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es
Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa
kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto
njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Askari
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Rosy Meena akitoa zawadi ya soksi na
kofia kwa mtoto aliyezaliwa na matatizo ya kiafya katika Hospitali ya
Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto
lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo
ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na
watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Mrakibu
Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi akitoa
zawadi ya soksi na kofia kwa mtoto aliyezaliwa na matatizo ya kiafya
katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la
Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea
hospitali hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto
wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Mganga
Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke, Dk Aman Malima, akiwapa
elimu Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria Kulaya
(kulia) na Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo, Puyo Nzalayaimisi kuhusu
watoto njiti wanavyozaliwa, kabla ya Maafisa hao wa Jeshi pamoja na
askari mbalimbali waliofika hospitalini hapo kwenda kuwatembelea wodini
watoto njiti, watoto waliozaliwa na matatizo mbalimbali pamoja na watoto
waliozaliwa salama katika hopsitali hiyo. Jeshi hilo limeanzimisha Siku
ya Mtoto Njiti Duniani kwa kutoa misaada katika hospitali hiyo kwa
wazazi waliojifungua watoto hao. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Kamishna
Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria Kulaya (watano kushoto
mstari wa mbele), Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo
Nzalayaimisi (watatu kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa na
askari wa Jeshi hilo mara baada ya kumaliza kutoa misaada mbalimbali
kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya
operesheni katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es
Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa
kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa. Picha zote na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
No comments:
Post a Comment