Tanzia : Mzee Samwel Sitta Afariki Dunia akiwa kwenye Matibabu nchini Ujerumani - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 7 November 2016

Tanzia : Mzee Samwel Sitta Afariki Dunia akiwa kwenye Matibabu nchini Ujerumani


Tanzia : Aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mwandamizi Mhe. Samuel John Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko Ujerumani akiwa katika matibabu, mtoto wa marehemu Bw. Benjamin Sitta, amethibitisha.  
Mungu ailaze roho ya marehemu Sehemu Sahihi
- Amin
Wazalendo 25 Blog, Inawapa Pole Familia ya Mzee Samwel Sita na Wa Tanzania Wote kwa ujumla kwa Msiba mkubwa uliotupata. 

RAIS DK. MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA SPIIKA WA BUNGE MH. JOB NDUGAI
 

No comments:

Post a Comment