Kutoka VOA Swahili: Zulia Jekundu S1 Ep 99: Hillary Duff, Drake, Taylor Swift, Kim Kardashian and Ciara - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


7 Nov 2016

Kutoka VOA Swahili: Zulia Jekundu S1 Ep 99: Hillary Duff, Drake, Taylor Swift, Kim Kardashian and Ciara


Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki ambacho hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba. Humu utapata kujua juu ya habari za mastaa zinazogonga vichwa vya habari, kujua baadhi ya wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa wiki husika na hata filamu 5 zilizoongoza kwa mauzo katika wiki hiyo.
KARIBU


Post Top Ad