Mshambuliaji wa Fenerbahce, Moussa
Sow akibinuka tik tak katikati ya mabeki wa kati wa Manchester United,
Marcos Rojo na Daley Blind kuifungia timu yake katika ushindi wa 2-1 ,kwenye mchezo wa Kundi A Europa League Uwanja wa Ulker
Fenerbahçe Sukru Saracoglu Spor Kompleksi mjini İstanbul, Uturuki. Bao
lingine la Fenerbahce lilifungwa na Jeremain Lens wakati la Man United
lilifungwa na Nahodha, Wayne Rooney.
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
No comments:
Post a Comment