Michezo : Lugalo Golf Club Bingwa Mashindano ya Mkuu wa Majeshi CDF Trophy - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


26 Sept 2016

Michezo : Lugalo Golf Club Bingwa Mashindano ya Mkuu wa Majeshi CDF Trophy

Baadhi ya Watoto (Junior) wasichana walioshiriki mashindano ya Kombe la mkuu wa majeshi CDF Trophy wakiwa katika harakati za mchezo huo katika mashindano yaliyofanyika uwanja wa Golf Lugalo jana Jumamosi Septemba 24 Jijini Dar es Salaam.
Watoto Junior walioshiriki mashindano ya Kombe la mkuu wa majeshi CDF Trophy wakiwa katika harakati za mchezo huo katika mashindano yaliyofanyika uwanja wa Golf Lugalo jana Jumamosi Septemba 24 Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda (kushoto )akimkabidhi zawadi ya Kikombe Mshindi wa Jumla wa Kombe la Mkuu wa majeshi CDF TROPHY mpiga Golf ambaye ni Mkuu wa majeshi Mstaafu Jenerali George Watara mara baada ya mashindano katika Uwanja wa Golf Lugalo Jijini Dar es Salaam jana Septemba 24.
Mshindi wa Jumla wa mashindano ya CDF Trophy 2016 Mkuu wa majeshi mstaafu George Waitara (wa kwanza kulia)akipokea Mfano wa Tiketi ya Ndege aliyopewa baada ya kushinda Wapili kulia ni Mnadhimu mkuu wa jeshi Luteni Jenerali Venance Mabeyo,watatu Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda na Wakwanza kushoto ni mwenyekiti wa Lugalo Golf Club Brig Gen Michael Luwongo.(Picha
Mshindi wa Jumla wa mashindano ya CDF Trophy 2016 Mkuu wa majeshi Mstaafu George Waitara (wa kwanza kulia)akipiga mpira wakati wa mashindano hayo katika uwanja wa Golf Lugalo Dar es Salaam wakwanza kushoto ni katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi Mh Job Masima
Baadhi ya Wachezaji Wanawake( Ladies) walioshiriki mashindano ya Kombe la mkuu wa majeshi CDF Trophy wakiwa katika harakati za mchezo huo katika mashindano yaliyofanyika uwanja wa Golf Lugalo jana Jumamosi Septemba 24 Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Watoto( Junior) walioshiriki mashindano ya Kombe la mkuu wa majeshi CDF Trophy wakiwa katika harakati za mchezo huo katika mashindano yaliyofanyika uwanja wa Golf Lugalo jana Jumamosi Septemba 24 Jijini Dar es Salaam.(Picha na Luteni Selemani Semunyu).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad