Matukio : Rais Dkt. Magufuli ashiriki Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste kanisa la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


26 Sept 2016

Matukio : Rais Dkt. Magufuli ashiriki Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste kanisa la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Padri Jackson Sosthenes (kushoto) na Padri Johnson Lameck wakati alipowasili katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam kushiriki katika Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 25, 2016.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki katika Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 25, 2016.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki katika Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya  Septemba 25, 2016.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki katika Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 25, 2016. 
Waumini wakipokea baraka katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam wakati wa  Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 25, 2016.
 Mpiga kinanda Bw. Charles Mang'enya akielekeza wimbo kwa waumini katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam wakati wa  Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 25, 2016.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki kutoa sadaka katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam wakati wa  Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 25, 2016.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipeana mikono na waumini wengine katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam wakati wa  Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 25, 2016.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipokea Sakramenti Takatifu katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam wakati wa  Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 25, 2016.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli akisalimia waumini katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya  Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 25, 2016.
 Sehemu ya waumini katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya  Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 25, 2016.
 Baadhi ya waumini katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya  Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 25, 2016.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia Bw. Charles Mang'enya shilingi milioni kama zawadi kwa vikundi vya kwaya vya kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya  Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 25, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya  Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 25, 2016.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad