Matukio : Mamia wajitokeza kumzika Adolf Saimon Kivamwo Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Monday, 26 September 2016

demo-image

Matukio : Mamia wajitokeza kumzika Adolf Saimon Kivamwo Dar es Salaam


K2 Waombolezaji wa kipeleka jene nyumbani kwa marehemu, Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam le tayari kwa shughuli ya kuagwa na hatimaye viwanja vya Leaders Club ambapo mwili wa marehemu ulikwenda kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam.K1
K3
Mwandishi wa Habari, Grace Nackso akimfariji mjane Frigeria Adolf Kivamwo wakati wa ibada fupi ya kuaga mwili wa marehemu Adolf Saimon Kivamwo nyumbani kwake Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam .
K4
Adolf Saimoni Kivamwo enzi za Uhai wake.
K5

K6
Mjane Frigenia na wanawe wakiaga mwili wa marehemu Adolf Saimon Kivamwo nyumbani kwake Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam.
K7
Baadhi ya wanafamilia na majirani wakiaga mwili wa marehemu Adolf Saimon Kivamwo nyumbani kwake Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam.
K8Baadhi ya wanafamilia wakiaga mwili wa marehemu Adolf Saimon Kivamwo nyumbani kwake Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam.K9
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo nyumbani kwa marehemu Kivamwo, Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam.K10 Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo nyumbani kwa marehemu Kivamwo.
K12 Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo nyumbani kwa marehemu Kivamwo.
K13 Wanakwaya ya Sinai wakitumbuiza katika shughuli hiyo nyumbani kwa Marehemu Mbezi mwisho jijini Dar es Salaam.
K14
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo nyumbani kwa marehemu Kivamwo.
K15
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza kulipeka kwenye gari kwa kuelekea viwanja vya Leaders Club kwa shughuli ya kuagwa.
K16
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza kulipeka kwenye gari kwa ili kuanza safari ya viwanja vya Leaders Club kwa shughuli ya kuagwa.K17
Waombolezaji wakeka jeneza kwenye gari tayari kwa safari ya viwanja vya Leaders Club kwa shughuli ya kuagwa.
K18 Mjane Frigenia (kushoto) na wanawe, Arm Eliza (mwenye miwani) wakiwasili viwanja vya leaders Club.
K19
Wanahabari wakilipokea jeneza baada ya mwili wa marehemu Kivamwo kuwasili viwanja vya vya leaders Club kwa shughuli ya kuagwa.
K20
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo.
K21
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo.
K22
K23
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo.
K24
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo.
K25
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo.K27
Wanakwaya ya Sinai wakitumbuiza katika shughuli hiyo.k28 Mjane Frigenia na wanawe, Arm, Eliza (mwenye miwani) na Miriam (kulia) wakiwa na huzuni wakati wa msiba huo.
K29
Askofu Isaya Kiputa wa Kanisa la Pentekoste Holiness Mission akisalimiana na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP-Media, Dkt. Reginald Mengi (kushoto) katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam.K30
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP-Media, Dkt. Reginald Mengiakisalimiana na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji baada ya kuwasili viwanja vya Leaders Club.
K31
Mchungaji Reuben Njereka akitoa neno katiba ibada ya kuaga iliyofanyika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam.
K32
Wana habari wakongwe walipata fursa ya kuonana katika tukio hilo. Kulia Muhidini Issa Michuzi 'Ankali' akisalimiana na Bernard Mapalala huku Hamisi Kibari (kushoto) na Charles Kayoka wakitabasamu.
K33
John Holana akisoma risala ya marehemu.K34
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP-Media, Dkt. Reginald mengi akitoa salamu zake.
K35 Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo.
K36 Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo.K37 Mhariri wa zamani wa Gazeti la The Guardian, Evarist Mwitumba akielezea machache kuhusu maisha ya marehemu enzi za uhai wake wakifanya kazi pamoja.
K39 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda akitoa salam za faraja kwa wafiwa na kuoelezea waombolezaji namna bora ya kuenzi mema aliyotuachia marehemu Kivamwo.
K40

K42
Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa mawaidha yake na kusisitiza waombolezaji kutokusahau mazuri yaliyofanya na marehemu Kivamwo na kuaenzi katika maisha yetu.
K43
Mhariri Mtendaji wa magazeti ya The Guardian, Richard Mwigamba akitoa salamu zake.
K44
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) Limited, Dkt. Jim Yonaz akitoa salamu na nasaa zake kwa waombolezaji.
K45

K46 Mhariri Mtendaji wa Gazeti la the Citizen, Bakari Machumu akitoa pia salam kwa waombolezaji.
K47
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, pia Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Nchini, wakili Deodatus Balile akitoa salam zake.
K48
Mwenyekiti wa 'Media Car Wash for Cancer' aliyeongoza kampeni ya matibabu ya Kivamwo, Benjamin Thomson akitoa salamu na shukrani kwa wote waliojitoa kwa matibabu na shughuli ya mazishi ya marehemu Kivamwo.
K49

K50 Mwombolezaji pia shabiki wa Timu ya Simba, Ben akimpa ubani mjane Frigenia Adolf Kivamwo wakati wa shughuli hiyo.
K52
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda akimpa mkono wa pole mjane na watoto wa marehemu.K53
Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwapa mkono wa pole na watoto wa marehemu.K54

K55

K56
Mhariri Mtendaji wa The Habari Media, Absolom Kibanda (kulia) akitoa mkono wa pole kwa wafiwa. Pamoja naye ni Mhariri Mtendaji wa Gazeti la the Citizen, Bakari Machumu (kulia) na Mhariri Mtendaji wa magazeti ya The Guardian, Richard Mwigamba.
K57
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la the Citizen, Bakari Machumu (kulia), Mhariri Mtendaji wa magazeti ya The Guardian, Richard Mwigamba (katikati) na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) Limited, Dkt. Jim Yonaz wakitoa pole kwa wafiwa.K58

K59

K60

K61

K62

K63

K64

K65
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP-Media akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, pia Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Nchini, wakili Deodatus Balile.
K66
Mjane Frigenia akifarijiwa baada ya kuaga mwili wa marehemu Kivamwo.
K67 Mwana Habari Leah Samike (kulia) na Rechol Mkundai wakiwafariji watoto wa marehemu baada ya kuaga mwili baba yao Adolf Saimon Kivamwo.
K68

K69 Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP-Media akibadilishana mawazo na wafanyakazi wa sasa na zamani ambao waliwahi kufanya kazi na marehemu Kivamwo kwenye Kampuni ya The Guardian Ltd wakati wa shughuli hiyo.
K70

K71
Askofu Isaya Kiputa wa Kanisa la Pentekoste Holiness Mission akiongoza ibada ya mazishi kwenye makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam.
K72

K74

K75 Mjane Frigenia Adolf Kivamwo akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe.
K76
Wanawe Mariam (kushoto), Amy (mdogo kabisa) na Eliza wakiweka maua kwenye kaburi.K78
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP-Media ambapo marehemu aliwahi kufanyika kazi kwenye Kampuni ya The Guardian Ltd akimwombea marehemu baada ya kuweka shada la maua.
K79
Wabunge Saed Kubenea wa ubungo (kushoto), Zitto Kabwe Kigoma Mjini na Shy-Rose Bhanji wa Bunge la Afrika Mashariki wakiweka maua kwenye kaburi wakati wa mazishi.K80
Mwenyekiti wa 'Media Car Wash for Cancer' aliyeongoza kampeni ya matibabu ya Kivamwo, Benjamin Thomson na Mwana habari mwenzake Grace Nackso wakiweka maua kwenye kaburi wakati wa mazishi.
K81
Mwana habari Amy Cunningham aliyewahi ufanya kazi na Kivamwo akiweka ua wenye kaburi wakati wa mazishi.K82
Wana habari wakiweka maua kwenye kaburi wakati wa mazishi.
K83
Wana habari wakiweka maua kwenye kaburi wakati wa mazishi.
K84
Wanafamilia wakiwa pamoja wafariji wao baada ya mazishi. (Imeandaliwa na robertokanda.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *