Matukio : Rais Dk. Magufuli Amuapisha Balozi Mmoja pamoja na Makatibu tawala wa mikoa mitatu, Ikulu Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 14 September 2016

Matukio : Rais Dk. Magufuli Amuapisha Balozi Mmoja pamoja na Makatibu tawala wa mikoa mitatu, Ikulu Jijini Dar




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Ramadhani Dau kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Tixon Nzunda kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Rukwa, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Eliya Ntandu kuwa Katibu Tawala mkoa wa Songwe, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Adoh Mapunda kuwa Katibu Tawala mkoa wa Mara Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Dkt. Ramadhani Dau na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Katibu Tawala mkoa wa Mara Bw. Adoh Mapunda wa pili kutoka (kushoto), Katibu Tawala wa mkoa wa Rukwa Bw. Tixon Nzunda watatu kutoka (kushoto) , Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba wapili kutoka (kulia), Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Eliya Ntandu wakwanza (kulia) mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Balozi mpya wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Ramadhani Dau mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Ramadhani Dau, Katibu Tawala mkoa wa Rukwa Tixon Nzunda, Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Eliya Ntandu pamoja na Katibu Tawala wa mkoa wa Mara Adoh Mapunda wakila kiapo cha Uadilifu mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment