Matukio /Dini : Waziri Mkuu, Majaliwa afuturu katika msikiti wa Khoja Shiaithna Asheri- Dar es salaam - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Jul 2016

Matukio /Dini : Waziri Mkuu, Majaliwa afuturu katika msikiti wa Khoja Shiaithna Asheri- Dar es salaam Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi  akisalimiana na viongozi wa Msikiti wa  Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam wakati alipowasili msikitini hapo kushiriki katika fuatari ambayo mgeni Rasmi alikuwa Waziri mkuu, kassim Majaliwa Julai 3, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na viongozi wa Msikiti wa  Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam wakati alipowasili msikitini hapo kushiriki katika fuatari Julai 3, 2016.  Kushoto  ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhaji Mussa Salum na  kushoto kwa Waziri Mkuu  ni Mwenyekiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri.
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mfanyabiashara Maarufu nchini, Mohsin Abdalah  wakati alipowasili kwenye  Msikiti wa  Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam  kushiriki katika futari iliyoandaliwa msikitini hapo Julai 3, 2016. Katikati ni Mwenyekiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri, Azim Dewji.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na  Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubery bin Ally baada ya kuwasili kwenye msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri jijini Dar es salaam kushiriki kwenye futari iliyoandaliwa msikitini hapo Julai 3, 2016. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam, Ramadhan Madabida.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi wakishiriki  katika swala  kabla ya kufuturu kwenye Msikiti wa  Khona Shia Ithna-Asheri  wa jijini Dar es salaam  Julai 3, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi alipozungumza katika futari iliyoandaliwa katika  Msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016. Wanne kushoto ni  ni Mufti Mkuu wa Tanzania, Abukakary Zubery bin Ally  na watano kushoto ni Mwenyekiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri,  Azim Dewji.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi wakimsikiliza Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubery bin Ally wakati alipozungumza  katika futari iliyoandaliwa  katika Msikiti wa  Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016. Kushoto ni Sheikh  wa mkoa wa Dar es salaam,  Alhaji Mussa Salum. 

 Mwenyekiti wa  Khoja Shia Ithna-Asheri,  Azim Dewji akizungumza katika futari iliyoandaliwa kwenye  Msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimshukuru Mwenyekiti wa MOHAMMED ENTERPRISES   GROUP, Gulam Dewji ambaye alitoa mchango wa madawati 500 katika futari iliyoandaliwa kwenye  Msikiti wa  Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakizungumza katika futari iliyoandaliwa kwenye  Msikiti wa   Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016. Kushoto ni Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubery bin Ally na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa  Khoja Shia Ithna-Asheri,  Azim Dewji
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakizungumza katika futari iliyoandaliwa kwenye  Msikiti wa   Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016.

Baadhi ya washiriki wa futari iliyoandaliwa kwenye  Msikiti wa  Khoja Shia Ithna-Asheri  jijini Dar es salaam wakimsikiliza mgeni rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza Julai 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post Top Ad