Matukio /Afya : Balozi wa korea Atembelea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Jul 2016

Matukio /Afya : Balozi wa korea Atembelea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili


  Balozi wa Korea, Song, Geum-young akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Museru baada ya balozi huyo kumtembelea mkurugenzi huyo LEO. Mazungumzo hayo yalihusu maendeleo ya hispitali hiyo.
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Museru akitoa historia fupi ya MNH LEO kwa Balozi Korea, Song, Geum-young.
 Kutoka kulia ni Mkuu wa Idara ya Mionzi, Dk Flora Lwakatare, Mkuu wa Idara ya Upasuaji, Dk Julieth Magandi na Mkurugenzi wa Uuguzi, Sister Agnes Mtawa wakifuatilia mazungumzo LEO katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa MNH.
 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma, Aminiel Aligaesha (kushoto), Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali (EMD), Dk Juma Mfinanga (katikati) na Mkuu wa Idara ya Watoto, Merry Charles wakifuatilia mazungumzo hayo leo.
 Balozi wa Korea, Song, Geum-young akisaini kitabu cha wageni leo alipotembelea katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Picha na John Stephen, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad