Naibu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu), Anthony Mavunde (wa pili kulia), na Ofisa Mwendeshaji
Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), James Kinyanyi (wa pili
kushoto), wakibonyeza kitufe cha kompyuta kuashiria uzinduzi wa program
ya Wajibika ya NBC yenye lengo la kuwandaa vijana wahitimu wa vyuo na
taasisi za elimu ya juu kuingia soko la ajira rasmi na binafsi katika
hafla iliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia kushoto ni Kaimu Makamu Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Utawala), Prof. Cuthbert Kimambo na
Mkurugenzi wa Bodi ya NBC, Dk. Kassim Hussein.
Naibu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu), Anthony Mavunde, akishiakana mikono na Mkuu wa Masoko
na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Neema Rose-Singo (kushoto),
baada ya kuzindua program ya Wajibika ya NBC yenye lengo la kuwandaa
vijana wahitimu wa vyuo na taasisi za elimu ya juu kuingia soko la ajira
rasmi na binafsi katika hafla iliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
(UDSM), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wapili kushoto ni;
Meneja Mahusiano wa NBC, William Kallaghe, Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa
NBC, James Kinyanyi, Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
(Utawala), Prof. Cuthbert Kimambo na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana,
Ofisi ya Waziri Mkuu, James Kajugusi.
Mkurugenzi
wa Bodi ya Benki ya NBC, Dk. Kassim Hussein (kulia), akizungumza katika
hafla ya uzinduzi wa program ya Wajibika ya benki hiyo yenye lengo la
kuwandaa vijana wahitimu wa vyuo na taasisi za elimu ya juu kuingia soko
la ajira rasmi na binafsi katika hafla iliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam (UDSM), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kutoka
kushoto ni; Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC,James Kinyanyi, Kaimu Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Utawala), Prof. Cuthbert Kimambo,
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana,
Ajira na Wenye Ulemavu), Anthony Mavunde, Mkurugenzi wa Maendeleo ya
Vijana, Ofisi ya Waziri Mkuu, James Kajugusi na Meneja Mahusiano wa NBC,
William Kallaghe.
Naibu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu), Anthony Mavunde (kulia), akihutubia katika hafla ya
uzinduzi wa program ya Wajibika ya Benki ya NBC yenye lengo la kuwandaa
vijana wahitimu wa vyuo na taasisi za elimu ya juu kuingia soko la ajira
rasmi na binafsi katika hafla iliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
(UDSM), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja
Mahusiano wa NBC, William Kallaghe akizungumza katika hafla hiyo katika
Ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mlimani jijini Dar
es Salaam juzi.
Naibu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu), Anthony Mavunde (katikati), akiongozana na Meneja
Mahusiano wa NBC, William Kallaghe(kushoto), na Kaimu Makamu Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Utawala), Prof. Cuthbert Kimambo (kulia),
wakati akiingia katika Ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
juzi kuzindua program ya Wajibika ya Benki ya NBC yenye lengo la
kuwandaa vijana wahitimu wa vyuo na taasisi za elimu ya juu kuingia soko
la ajira rasmi na binafsi.
Baadhi ya washiriki katika uzinduzi huo.
Baadhi
ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na washiriki wengine
waliohudhuria uzinduzi huo wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi.
Mgeni
rasmi katika uzinduzi wa program ya Wajibika ya Benki ya NBC, Naibu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira,Vijana na
Wenye Ulemavu, Anthony Mavunde (katikati),akipozi kwa picha ya
kumbukumbu pamoja na maofisa wa NBC na wageni wengine mashuhuri.
Mgeni
rasmi katika uzinduzi wa program ya Wajibika ya Benki ya NBC, Naibu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira,Vijana na
Wenye Ulemavu, Anthony Mavunde (katikati),akipozi kwa picha ya
kumbukumbu pamoja na maofisa wa NBC ambao kwa namna moja ama nyingine
wamefanikisha uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment