Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na aliyekuwa Makamu wa Rais na Mchumi Mkuu wa Benki ya Dunia Profesa Justin Yifu Lin aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo na aliyekuwa Makamu wa Rais na Mchumi Mkuu wa Benki ya Dunia Profesa Justin Yifu Lin aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Juni 22, 2016. Kushoto ni Balozi wa China nchini Dkt. Dkt. LU Younqing.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiagana na Balozo wa China nchini Dkt Lu Younqing baada ya kuwa na
mazungumzo na aliyekuwa Makamu wa Rais na Mchumi Mkuu wa Benki ya Dunia
Profesa Justin Yifu Lin aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo
Juni 22, 2016. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizarta ya Viwanda na Biashara
Dkt. Adelhem James Meru na Kulia ni Mkurugenzi Idara ya Asia katika
Wizara ya Mambo ya Nje Bw. Mbelwa kairuki.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na katibu Mkuu Wizara ya fedha na Mipango Dkt Servacius
Likwelile alipowasili kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya
Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akisimama kwa ukakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa akiwa na Mkuu
Wizara ya fedha na Mipango Dkt Servacius Likwelile, Gavana wa Benki Kuu
ya Tanzania, Profesa Benno Ndullu, na Mkuu wa Mkoa wa Dar e3s salaam Mhe
Paul Makonda kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania
kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akihutubia wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania

Sehemu ya waliohudhuria sherehe hizo
Sehemu ya waliohudhuria sherehe hizo
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akibofya kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa maadhimisho ya miaka 50 ya
benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akizindua sarafu maalumu ya shilingi 50,000/- kwenye maadhimisho ya
miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es
salaam leo Juni 22, 2016. Kushoto ni Ktibu Mkuu wa Wizara ya Fedha ya
Zanzibar Mhe Khamis Mussa Omar na kulia ni Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania Profesa Benno Ndullu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akizindua Kitabu kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania
kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea mfano wa hundi ya bilioni 4
kutoka kwa gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Benno Ndullu
akishuhudiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt Servacius
Likwelile (kulia) , Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ya Zanzibar Khamis Mussa
Omar (wa pili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda
(kushoto) na Profesa Paul Collier (watatu kushoto), mwandishi wa kitabu
cha "Tanzania: The path to prosperity" kilichozinduliwa na Rais leo.
Bendi ya BoT ikiwa tayari kutumbuiza
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa
na Magavana na Manaibu Magavana wa nchi mbaimbali kwenye maadhimisho ya
miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es
salaam leo Juni 22, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa
na Bodi ya wakurugenzi wa BOT kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki
kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22,
2016.
No comments:
Post a Comment