Matukio : Mhe. Samia Suluhu afungua mafunzo ya Wanawake Wajasiriamali Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 21 June 2016

Matukio : Mhe. Samia Suluhu afungua mafunzo ya Wanawake Wajasiriamali Jijini Dar


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa kufungua Mafunzo ya siku tatu ya Wanawake Wajasiriamali yalioandaliwa na Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) kwenye ukumbi wa Bwalo la JKT Mgulani, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment