Matukio : Nchi wanachama watakiwa kutimiza makubaliano ya Malabo - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Sunday, 12 June 2016

Matukio : Nchi wanachama watakiwa kutimiza makubaliano ya Malabo

   BAADHI YA WADAU WAKILIMO KUTOKA NCHI ZA AFRIKA YA MASHARIKI WALIOSHIRIKI KATIKA MKUTANO JUU YA BAJETI YA KILIMO YA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI 2016 KATIKA JUHUDI ZA KUONGEZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA KILIMO ILIKUFIKIA MALENGO YA MALABO 2014- 2025 .
 Mwakilishi wa Spika wa bunge la Afrika Mashariki , amesema kama nchi za Afrika Mashariki zinataka kuendelea na kupunguza umasikini kwa watu wake kuna umuhimu mkubwa wa kutekeleza azimio la Malabo ambalo linaitaka kila nchi mwanachama kutenga bajeti ya kilimo Zaidi ya asilimia kumi.

  BAADHI YA WADAU WAKILIMO KUTOKA NCHI ZA AFRIKA YA MASHARIKI WALIOSHIRIKI KATIKA MKUTANO WA BAJETI YA KILIMO YA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI 2016 KATIKA JUHUDI ZA KUONGEZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA KILIMO ILIKUFIKIA MALENGO YA MALABO 2014- 2025 .
  BAADHI YA WADAU WAKILIMO KUTOKA NCHI ZA AFRIKA YA MASHARIKI WALIOSHIRIKI KATIKA MKUTANO JUU YA BAJETI YA KILIMO YA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI 2016 KATIKA JUHUDI ZA KUONGEZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA KILIMO ILIKUFIKIA MALENGO YA MALABO 2014- 2025 .
  BAADHI YA WADAU WAKILIMO KUTOKA NCHI ZA AFRIKA YA MASHARIKI WALIOSHIRIKI KATIKA MKUTANO JUU YA BAJETI YA KILIMO YA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI 2016 KATIKA JUHUDI ZA KUONGEZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA KILIMO ILIKUFIKIA MALENGO YA MALABO 2014- 2025 .

 KATIBU MTENDAJI WA ANSAF AKIZUNGUMZA NA WADAU WAKILIMO KATIKA MKUTANO WA JUU YA BAJETI YA KILIMO YA JUMUHIA YA AFRIKA MASHARIKI 2015  KATIKA JUHUDI ZA KUONGEZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA KILIMO ILIKUFIKIA MALENGO YA MALABO 2014- 2025.
 KATIBU MTENDAJI WA ANSAF ANSAF BW. AUDAX RUKONGE AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI (hawapo pichani) KATIKA MKUTANO WA JUU YA BAJETI YA KILIMO YA JUMUHIA YA AFRIKA MASHARIKI 2015  KATIKA JUHUDI ZA KUONGEZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA KILIMO ILIKUFIKIA MALENGO YA MALABO 2014- 2025.

No comments:

Post a Comment