Mwezi Mtukufu : Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa afuturisha Jijini Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


12 Jun 2016

Mwezi Mtukufu : Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa afuturisha Jijini Dar es Salaam


 Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa (kushoto) akisalimiana na  Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema  katika futari aliyoiandaa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye makazi yake jijini Dares salaam Juni 10, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Happi (kushoto) na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Simon Siro katika futari  aliyoiandaa kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Juni 10, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamanda  wa Kanda Maalum  ya  Dar es salaam , Simon Siro  katika futari aliyoiandaa kwenye Makazi yake  jijini  Dar es salaam Juni 10, 2016.  Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Happi 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya  ya Wazazi Tanzania , Abdallah Bulembo katika futari aliyoiandaa kwenye makazi yake  jijini Dar es salaam Juni 10, 2016. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post Top Ad