Matukio : Dk. Shein awaapisha wakuu wa mikoa na wilaya, Zanzibar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 24 May 2016

Matukio : Dk. Shein awaapisha wakuu wa mikoa na wilaya, Zanzibar


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein   akimuapisha Mhe,Ayoub Mohammed Mahmoud   kuwa   Mkuu wa Mkoa wa Mjini  Magharibi Unguja,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi A, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein   akimuapisha Mhe,Vuai Mwinyi Mohammed   kuwa   Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya Kati, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein   akimuapisha Mhe,Marina Joel Thomas   kuwa   Mkuu wa Wilaya ya Mjini   Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  akimuapisha Mhe,Silima Haji Haji  kuwa   Mkuu wa Wilaya ya Magharibi "B" Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  akimuapisha Mhe,Hassan Ali Kombo  kuwa   Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini  "A" Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  akimuapisha Mhe,Issa Juma Ali   kuwa   Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  akimuapisha Mhe,Mashavu Sukwa Said kuwa   Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  akimuapisha Mhe,Idrissa Kitwana Mustafa  kuwa   Mkuu wa Wilaya ya Kusini  Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  akimuapisha Mhe,Salama Mbarouk Khatib  kuwa   Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Pemba, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu.] 

No comments:

Post a Comment