Bungeni : Matukio mbalimbali katika picha kutoka bungeni mjini Dodoma leo - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 24 May 2016

Bungeni : Matukio mbalimbali katika picha kutoka bungeni mjini Dodoma leo


Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Mhe. Joseph Leonard Haule akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira ambaye pia ni Mbunge Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Iringa Mjini, Mhe. Mchungaji Peter Simon Msigwa wakielekea Bungeni kwa ajili ya vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.
 
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Sospeter Mwijarubi Muhongo akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi, Mhe. Andrew John Chenge (kulia) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakielekea ndani ya Bunge kwa ajili ya vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
Naibu Waziri, Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge Jimbo la Ngorongoro, Mhe. William Tate Ole-Nasha akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe. Mary Machuche Mwanjelwa akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Mhe. Prof. Joyce Lazaro Ndalichako akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
Naibu Waziri, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mb), Mhe. Eng. Edwin Amandus Ngonyani (kushoto) akiwa ameongozana na Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Eng. Hamad Yusuf Masauni wakielekea ndani ya Bunge kwa ajili ya vikao vya asubuhi vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa CCM Muleba Kaskazini, Mhe. Charles John Mwijage akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma. PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO, DODOMA.

No comments:

Post a Comment