Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto,
Sihaba Nkinga akifungua kongamano la wadau wanao jadili uwezeshaji wa
Mpango Kazi wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto
nchini Tanzania unaofanyika Bahari Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi
,Dar es salaam Tarehe 30/5/2016.
Baadhi
ya washiriki wa Kongamano la uwezeshaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa
wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto nchini Tanzania Wadau
wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo
ya Jamii ,Jinsia Wazee na Watoto, Sihaba Nkinga unaofanyika Bahari
Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi ,Dar es salaam tarehe 30/5/2016
Kaimu
Muwakilishi wa UNCEF Bwana, Paul Edward akitoa hotuba fupi kwenye
kongamano la wadau wanao jadili uwezeshaji wa Mpango Kazi wa
Kitaifa wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto nchini Tanzania
unaofanyika Bahari Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi, Dar es salaam
Tarehe 30/5/2016.
Muwakilishi
wa UN WOMEN BIbi, Anna collins akitoa nasaha kwenye kongamano la
wadau wanao jadili uwezeshaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Kuzuia
Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto nchini Tanzania unaofanyika Bahari
Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi, Dar es salaam Tarehe 30/5/2016.
Katikati
ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na
Watoto, Sihaba Nkinga akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi/
wawakilishi wa taasisi mbali mbali walio shiriki kongamano la uwezeshaji
wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto
nchini Tanzania unaofanyika Bahari Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi
,Dar es salaam tarehe 30/5/2016.
No comments:
Post a Comment