Matukio : JK awafunda vijana wa CCM vyuo vikuu ,Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 30 May 2016

demo-image

Matukio : JK awafunda vijana wa CCM vyuo vikuu ,Jijini Dar

jk
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akihutubia katika mahafali ya 2016 ya Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu wa CCM yaliyofanyika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.
IMG_9938
 Vijana vyuo vikuu Dar es Salaam wakiserebuka katika mahafali yao.
IMG_9940
 Vijana hao wakiendelea kuserebuka.
IMG_9943
 Hapa ni furaha kwa kwenda mbele.
IMG_9952
Ni kama wanasema'  Hapa ni ushindi tu 2020 kwani vijana tumejipanga.
IMG_9963
Vijana wakiwa kwenye mahafali hayo.

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *