Meneja
wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementina Kinabo (wa pili
kulia), ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 15 ya Kidato cha
Sita katika Shule ya Sekondari Kibasila akiwasili shuleni hapo, Kulia ni
Mkuu wa shule hiyo, Yasinta Matilya. Benki ya CRDB ilitoa msaada wa
mifuko 70 ya saruji kwa ajili ya ukarabati wa uzio wa shule hiyo katika
hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).
Wahitimu wa Kidato cha Sita wakimraki mgeni rasmi.
Wanafunzi wa Kidato cha Sita.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibasila wakiimba wimbo wa Taifa.
Meneja
wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementina Kinabo (kushoto),
akipokea risala kutoka kwa Emmanue Moah ambaye ni mwanafunzi wa Kidato
cha Sita wa Shule ya Sekondari Kibasila wakati mahafali ya 15 ya shule
hiyo jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB ilikabidhi mifuko 70 ya saruji
kwa ajili ya ukarabati wa uzio wa shule hiyo.
Meneja
wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementina Kinabo (kulia),
akikabidhi mifuko 70 ya saruji kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Kibasila,
Yasinta Matilya kwa ajili ya ukarabati wa uzio wa shule hiyo
Mkuu
wa Shule ya Sekondari Kibasila, Yasinta Matilya (kulia), akimshukuru
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementina Kinabo baada
ya mifuko 70 ya saruji.
Meneja
wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementina Kinabo na Mkuu wa
Shule ya Sekondari Kibasila, Yasinta Matilya wakikagua mifuko ya saruji
iliyotolewa na Benki ya CRDB.
Maktaba ya Shule.
Wanafunzi wakiwa na furaha.
Wanafunzi wakiwa na furaha ya kumaliza masomo yao ya Kidato cha Sita.
Meza Kuu.
Mkuu wa Shule ya Sekondari Kibasila, Yasinta Matilya akizungumza katika mahafali hayo.
Meneja
wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementina Kinabo akizungumza
katika mahafali hayo. Kushoto ni Principal Public Relations Officer wa
Benki ya CRDB, Willy Kamwela.
Principal Public Relations Officer wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela (wa pili kulia), akiwa katika mahafali hayo.
Wanafunzi wakiimba nyimbo za kuwaaga wenzao wakati wa mahafali yao.
Wanafunzi wakiwa katika mahafali hayo.
Wanafunzi wakiwa katika mahafali hayo.
Wazazi pamoja na wanafunzi wakiwa katika mahafali hayo.
No comments:
Post a Comment