Mkuu
wa wilaya ya Mbeya Nyilembe Munasa akitoa Dawa za kinga tiba kwa
magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kwa wananchi wa Jiji la Mbeya
katika eneo la kituo cha Mabasi madogo(Daladala)Kabwe April 29 -2015
mara baada ya kuzindua rasmi .
|
Mkuu
wa Wilaya ya Mbeya Nyilembe Munasa akiongoza zoezi la ugawaji wa Dawa
za kinga tiba kwa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele ,Magonjwa hayo
ni Minyoo ya Tumbo,Matende ,Ngirimaji na Usubi, ambapo dawa hizo
zinatolewa kwa wananchi wote kuanzia miaka Mitano (5)na kuendelea .
|
Wananchi
eneo la kwabwe jijini Mbeya stendi wakisubiri kwa hamu kupatiwa dawa
za kinga tiba kwa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele ambapo zoezi
hilo linatarajiwa kuanza rasmi mei 2 hadi 5 mwaka huu .Picha EmanuelMadafa,Jamiimojablog-
|
No comments:
Post a Comment