Kutoka
na Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali hapa nchini,
imepeleka kujaa maji katika eneo hili la Kibaigwa Mkoani Dodoma na
kufanya magari kupita kwa shida katika Barabara kuu itokayo Morogoro
kwenda Dodoma, kama ionekanavyo pichani.Picha na Othman Michuzi.
Askari
Polisi kwa kikosi cha Usalama Barabarani wakisimamia zoezi la
upishanaji wa Magari katika eneo hilo, kutokana na uwingi wa maji
yanayotokana na Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali
hapa nchini.
Magari yakilazimika kupita upande mmoja wa barabara.
Hali ilivyo katika eneo kubwa la mashamba yaliopo eneo hilo la Kibaigwa.
Mvua hizo zilivyofanya uharibifu.
No comments:
Post a Comment