Teknolojia : Mpoki Atembelea Studio za EFM Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


5 Feb 2016

Teknolojia : Mpoki Atembelea Studio za EFM Jijini Dar


Mchekeshaji wa orijino Komedi alimaarufu kama MPOKI ametembelea kituo cha radio cha Efm 93.7 katika ofisi zao na kuonana na wakurugenzi pamoja na watangazaji wake kwa lengo la kubadilishana mawazo sambamba na kuona jinsi gani kituo hicho kinavyoendesha shughuli zake za utangazaji.
Mchekeshaji wa orijino Komedi alimaarufu kama MPOKIakiteta jambo na mkurugenzi mkuu wa Efm radio Francis Siza.
Mchekeshaji wa orijino Komedi alimaarufu kama MPOKI Wakifurahia jambo huku wakiagana baada ya mazungumzo.
Mchekeshaji wa orijino Komedi alimaarufu kama MPOKI akisalimiana na Meneja mkuu wa kituo hicho Bw. Geofrey Ndaula.
 Meneja mahusiano na Mawasiliano Bw. Dennis Ssebo akimkaribisha Mpoki ofisini kwake alipotembelewa na Mchekeshaji wa orijino Komedi alimaarufu kama MPOKI.
Mhariri mkuu wa Efm Radio Scholastica Mazula akisalimiana na Mpoki alipofika katika chumba cha habari.
Akiwa pamoja na watangaziji wa kipindi cha Sports HQ (kulia) Maulidi Kitenge na (kushoto) Ibrahimu Masoud (Maesro)
Picha ya pamoja na mtangazaji wa kipindi cha UHONDO Dina Marios na Mchekeshaji wa orijino Komedi alimaarufu kama MPOKI.
 Ma producer wa Efm Radio katika picha ya pamoja na Mchekeshaji wa orijino Komedi alimaarufu kama MPOKI.

Post Top Ad