Matukio /Picha : Taswira mbalimbali ya mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma half Marathon - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


13 Feb 2016

Matukio /Picha : Taswira mbalimbali ya mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma half Marathon


 Wilhelm Gidabuday na Filbert Bayi wakiratibu Mchezo wa Dodoma Hapa Kazi Tu Half Marathon, Mkoani Dodoma, 30 Januari, 2016. PICHA ZOTE NA GADIOLA EMANUEL , Wazalendo 25 Blog

Wafanyakazi wa NHIF wakipiga picha na Waziri Nape Nnauye mara baada ya kushiriki mbio hizo

 Wafanyakazi wa NHIF Walivyoshiriki mbio hizo

Mkongwe Phaustine Baha akimaliza wa 3 katika mbio za 5km ,huku nyuma akitizamwa na mkongwe Filbert Bayi
 Juma Ikangaa na Kocha Francis John

 Wabunge wakipasha kwa muziki mara baada ya kushiriki mbio hizo

 Baadhi ya Viongozi wa RT


 Wakongwe wa Uratibu wa Mashindano ya Riadha nchnini, Wilhelm Gidabuday na Phaustine Baha

 Wilhelm Gidabuday na Mkongwe Juma Ikangaa
 Gidabuday, Juma Ikangaa na Phaustine Baha

 Francis Dande akimuuliza jina Mbunge wa Mbulu Vijijini, pembeni ni Dokii msanii wa bongo Movie
 Majjid Mjengwa akizungumza na Mkorea aliyeshiriki mbio hizo
 Wilhelm Gidabuday na Tullo Chambo
 Wachezaji wa Riadha wa Mkoa wa Dodoma wakipiga picha na mkongwe Juma Ikangaa
 Mratibu wa Mashindano Filbert Bayi akizungumza na wanahabari


Post Top Ad