Matukio :Libeneke la MODEWJIBLOG lapata kwikwi ya kiufundi, kurudi hewani hivi punde..tupo pamoja - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 22 February 2016

Matukio :Libeneke la MODEWJIBLOG lapata kwikwi ya kiufundi, kurudi hewani hivi punde..tupo pamoja


 
WADAU WA MTANDAO WA HABARI WA MODEWJIBLOG TUMEPATA TATIZO LA KWIKWI YA KIUFUNDI KUANZIA ASUBUHI YA LEO HIVYO TUNALIFANYIA KAZI HARAKA KWA KADIRI INAVYOWEZEKANA ILI TUWEZE KURUDI HEWANI.TUNAOMBA RADHI KWA WADAU WETU WOTE PAMOJA NA WATEMBELEAJI WETU POPOTE WALIPO KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA.

Endelea kuperuzi nasi wakati wote kwa habari mbalimbali: www.modewjiblog.com

IMETOLEWA NA UONGOZI WA MODEWJIBLOG.COM

No comments:

Post a Comment