Urembo : Miss Tanzania USA 2015 Ashinda kuwa Cover Girl kwenye Kalenda ya Miss Africa USA 2015 - 2016 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 1 December 2015

demo-image

Urembo : Miss Tanzania USA 2015 Ashinda kuwa Cover Girl kwenye Kalenda ya Miss Africa USA 2015 - 2016


12274298_1690775631145762_1039428417739292760_n
 Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara (kushoto) akiibuka mshindi na kuwa Cover Girl kwenye Kalenda ya Miss Africa USA 2015-2016 shindano ililofanyika New York siku ya Jumamosi Novemba 28, 2015.
IMG_5864
 Mamiss wengine walioshiriki shindano hilo wakipita mbele ya majaji.
IMG_5918
 Wadau wakipata picha na mamiss wakati mratibu wa mashindano ya miss Africa Lady Kate alipokua akitangaza shindi.
IMG_5947
Ma Winny Casey (gauni jeusi) pamoja na Lady Kate (mwenye miwani) wakiwa na mamiss.

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *