Habari /Kimataifa : Kipindi cha JUKWAA LANGU Kinachorushwa Live Kila Siku ya Jumatatu kuotoka Marekani, Usikose - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 6 December 2015

Habari /Kimataifa : Kipindi cha JUKWAA LANGU Kinachorushwa Live Kila Siku ya Jumatatu kuotoka Marekani, Usikose



JUKWAA LANGU kutoka Kwanza Production, Vijimambo Radio na Border Media Group. Kipindi kipya kinachorushwa LIVE kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 11 kamili jioni (5:00pm) EST kwa saa za Marekani ya Mashariki.
JUKWAA LANGU ni kipindi kiinachozungumzia mambo mbalimbali yanayotokea Duniani ikiwemo maswala ya siasa na kuangalia mstakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi na kupata fursa ya kuongea na watu mbalimbali ndani na nje ya Marekani
 Piga simu 240 281 0574 utuambie ni nini maoni yako kwa Tanzania uipendayo 
Kipindi hiki kimeandaliwa na kurushwa LIVE na mtangazaji mahiri Mubelwa Bandio kupitia
Ama kwa aliye Marekani na Canada unaweza kutusikiliza kupitia 716 748 0086
 USIKOSE KILA SIKU JUMATATU KATIKA KIPINDI CHA JUKWAA LANGU

No comments:

Post a Comment