Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za
Afrika na China, wakati wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo
uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015.
ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu
mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo . Picha Zote na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete (katikati) na Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lu
Youqing (kushoto) wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu
wa Nchi za Afrika na China, walipokuwa wakitembelea Mabanda ya maonesho
ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec
4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais
Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu
Hassan, na Rais Mstaafu wa awamu ya Tano, Dkt. Jakaya Kikwete,
wakiangalia moja ya Ndege ya Kivita ya mfano, wakati walipotembelea
Mabanda ya maonesho ya Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika
na China, uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4,
2015. Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu
mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan,
akiongozana na Rais Mstaafu wa awamu ya Tano, Dkt. Jakaya Kikwete,
Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lu Youqing, wakiangalia moja ya
Ndege ya Kivita ya mfano, wakati walipotembelea Mabanda ya maonesho ya
Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, uliofanyika
Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. Dkt. Jakaya
Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo
unamalizika leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Makamu wa Rais wa Sudan, Mhe. Bakri Hassan Salih,
walipokutana na kwenye mkutano wa mwisho wa Tano wa Wakuu wa Nchi za
Afrika na China, unaomalizika leo jijini Johannesburg Afrika ya Kusini,
ambapo Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, pia alihutubia.\
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
Balozi Liberata Rutageruka Mulamula, kabla ya kuhutubia katika Mkutano
mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, unaomalizika leo
jijini Johannesburg Afrika ya Kusini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akipitia 'Document' kabla ya kuhutubia katika Mkutano mkuu wa
Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, unaomalizika leo jijini
Johannesburg Afrika ya Kusini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akipitia 'Document' kabla ya kuhutubia katika Mkutano mkuu wa Tano wa
Wakuu wa Nchi za Afrika na China, unaomalizika leo jijini Johannesburg
Afrika ya Kusini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiwa katika ukumbi wa mkutano wakati akijiandaa kuhutubia kwenye
Mkutano mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, unaomalizika
leo jijini Johannesburg Afrika ya Kusini.

No comments:
Post a Comment