Matukio : Wanadiaspora Washerehekea Chakula cha Jioni na Rais Jakaya Kikwete, Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 15 August 2015

Matukio : Wanadiaspora Washerehekea Chakula cha Jioni na Rais Jakaya Kikwete, Jijini Dar


 WanaDiaspora wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Rais Jakaya Kikwete wakati wa chakula jioni kilichofanyika jioni ya Aug 14, 2015 katika hotel ya Serena iliyopo jijini Dar kwenye kongamano la Diaspora lilifanyika kwenye hotel hiyo na lilifunguliwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe.
 WanaDisapora wakipata picha ya kumbukumbu kwenye dinner hiyo ambayo Mhe. Rais Jakaya Kikwete alikua mgeni rasmi.
 Mhe. Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia wanaDiaspora.

No comments:

Post a Comment