Matukio: Rais Kikwete Azindua Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi, Ikulu Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 15 August 2015

Matukio: Rais Kikwete Azindua Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi, Ikulu Jijini Dar

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi baada ya kuweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam
 Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi zikioneshwa huku zikishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam
 Mwenyekiti wa Business Roundtable Ali Mufuruki na Mkuu wa Brela wakisaini kwa niaba ya sekta binafsi na za umma Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment