Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ,Samia Suluhu Hassan alipowasili uwanja wa Majengo mjini Moshi kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni wa hadhara. |
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa kampeni ya Mgombea Mwenza wa Chama cha Mapinduzi alifanya mkutano wake katika uwanja wa Majengo mjini Moshi. |
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi,Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha wagombea Ubunge katika majimbo matatu ya Moshi mjini (Dais Mosha),Vunjo(Innocent Shirima)na Moshi vijijini (Dkt Cyril Chami). |
Mgombea Ubunge jimbo la Vunjo ,Innocent Shirima akizungumza wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Majengo mjini Moshi. |
Mgombea Mwenza wa Urais ,Samia Suluhu Hassan akimtamburisha mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini ,Davis Mosha wakati akimuombea kura wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Majengo mjini Moshi. |
Mgombea Mwenza wa Urais ,Samia Suluhu Hassan akimtamburisha mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi vijijini Dkt Cyril Chami wakati akimuombea kura wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Majengo mjini Moshi. |
Mgombea Mwenza wa Urais ,Samia Suluhu Hassan akimtamburisha mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo ,Innocent Shirima wakati akimuombea kura wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Majengo mjini Moshi. |
Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha akizungumza katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Urais ,Samia Suluhu Hassan aliyeanzia kampeni zake mkoani Kilimanjaro. |
Mgombea Mwenza wa Urais,Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Majengo mjini Moshi. |
Wagombea Ubunge wa majimbo ya Moshi mjini,Vunjo na Moshi vijijini wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais,Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa majengo mjini Moshi. |
Baadhi ya wanachama wa Chaa cha Mapinduzi katika mkutano ho. |
Wagombea wa nafasi ya Udiwani katika jimbo la Moshi mjini. |
Baadhi ya wanachama wa chama cha Mapinduzi. |
Mgombea Udiwani kata ya Miembeni ,Bw Juma ,akizungumza kwa niaba ya madiwani wenzake. |
Baadhi ya wanachama wa CCM mkoa wa Kilimnajrao, Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment