Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji (ZAWA) dkt.Nustafa Ali Garu akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipofika kuzindua mradi wa Maji safi na salama na uhifadhi mazingira katika kijiji cha Taif Wete unaofadhiliwa na Benki yaMaendeleo ya Afrika (ADB) katika Mkoa wa kaskazini Pemba
Wanafunzi wa Skuli Sekondari na msingi katika Wilaya ya Wete wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa mradi
wa Maji safi na salama na uhifadhi mazingira katika kijiji
cha Taif Wete unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) katika
Mkoa wa kaskazini Pemba
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walioungana na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein
katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Maji safi na salama katika kijiji
cha Taif Wete Pemba,ambao unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) wakiangalia ratiba ya sherehe hiyo
Baadhi ya Viongozi mbali mbali na wageni wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake leo katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Maji safi
na salama katika kijiji cha Taif Wete Pemba,ambao unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB)
Baadhi ya Viongozi na Maafisa mbali mbali wa Idara za Serikali wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipkuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa
Maji safi na salama katika kijiji cha Taif Wete Pemba,ambao unafadhiliwa
na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB)
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji wakijipanga wakati wa mapokezi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipofika kuzindua mradi wa Maji safi na salama na uhifadhi mazingira katika kijiji cha Taif Wete unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) katika Mkoa wa kaskazini Pemba
No comments:
Post a Comment