MBUNGE wa jimbo la Bumbuli,mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba akisaini
kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tukio hilo la
uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini
Dodoma leo.
January
Makamba akionyesha kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea
urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi
(CCM). Kushoto ni Katibu wa Halmashauri Kuu Taifa (Nec) ya CCM wa Idara
ya Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatibu.Kulis ni Mkewe mh. January
Makamba. Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao
Makuu ya CCM mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment