Msimamizi wa Uchaguzi na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akizungumza wakati wa kutangaza matokeo katika uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo. |
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika uchaguzi huo kutoka vyama mbalimbali vya siasa. |
Mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo Hussein Jamal akizungumzamara baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo katika uchaguzi huo uliofanyika katika shule ya walemavu wa usikivu eneo la njia Panda. |
Baadhi ya viongozi waliofika kushuhudia Uchaguzi huo. |
Mkurugenzi wa wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akitoa ufafanuzi katika uchaguzi huo. |
Baadhi ya madiwani walioshiriki uchaguzi huo. |
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Moris Makoi akisalimia mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi huo. |
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza wakati wa kufunga kikao cha uchaguzi huo. |
Dc Makunga akipeana mkono na Mwenyekiti wa
Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Moris Makoi mara baada ya kuzungumza
katika uchaguzi huo. Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment