Michezo ni Afya : Vijana wa Kawe Washiriki Jogging - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 31 May 2015

Michezo ni Afya : Vijana wa Kawe Washiriki Jogging

 Vijana wa Kawe wakishiriki Jogging.
 Gabriel Munasa (mwenye kaptura ya pink) akishiriki jogging pamoja na vijana wa Kawe,kushoto kwake ni Elias Nawera.
 Bendera ya Taifa ikiwa juu kuashiria kuhitimisha kwa mchakamchaka huo ambao mgeni rasmi alikuwa Gabriel Munasa.
 Gabriel Munasa akishiriki mazoezi ya viungo kwenye viwanja vya michezo vya Kawe.
 Gabriel Munasa akiongea na vyombo vya habari ambapo alielezea lengo na madhumuni ya kuwasaidia vijana kupitia vikundi vya jogging na pia alitumia fursa hiyo kuwaeleza nia yake ya kugombea ubunge kwa jimbo la Kawe na kama litagawanywa atagombea jimbo la Bunju.
Burudani baada ya mazoezi.

No comments:

Post a Comment