Meneja
wa NHIF Mkoa wa Manyara, Innocent Mauki akiwakaribisha viongozi wa NHIF
makao makuu na uongozi wa Mkoa wa Manyara, kwenye uzinduzi wa mpango wa
huduma za madaktari bingwa Mkoani Manyara.
Baadhi
ya wakazi wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, wakishuhudia Mkuu wa Mkoa
wa Manyara, Dk Joel Nkaya akizindua mpango wa huduma za madaktari
bingwa mkoani humo, zilizowezeshwa na NHIF
Mkuu
wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Nkaya Bendera akizungumza asubhi ya kwa
kuwa mkoa huo kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (CHF) kwenye uzinduzi
wa mpango wa huduma za madaktari bingwa mkoani Manyara uliowezeshwa na
NHIF.
Mkuu
wa Mkoa wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Nkaya Bendera (kushoto) akimkabidhi
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Ally Uredi vifaa tiba na dawa
zilizotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, (NHIF) ambazo gharama
zake ni shilingi milioni 5.5.
Ofisa
mawasiliano wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini (NHIF) Luhende
Singu akizungumza wakati wa zoezi la kuzindua mpango wa huduma za
madaktari bingwa Mkoani Manyara, asubuhi.
Baadhi
ya wananchi wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wakiwa kwenye hospitali
ya rufaa ya Mkoa huo ambapo leo asubuhi Mkuu wa Mkoa huo Dk Joel Nkaya
Bendera alizindua mpango wa huduma za madaktari bingwa uliondaliwa na
NHIF.
Bibi Cecilia Tluway wa Wilaya ya Babati akikabidhiwa msaada wa shilingi 10,000 na Ofisa mawasiliano wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini (NHIF) Luhende Singu, za
kujiunga na mfuko wa Afya ya Jamii nchini CHF wakati wa zoezi la
kuzindua mpango wa huduma za madaktari bingwa Mkoani Manyara.
No comments:
Post a Comment