Matukio :Tume ya haki za binadamu yatoa ripoti ya Mbagala - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 20 May 2015

Matukio :Tume ya haki za binadamu yatoa ripoti ya Mbagala


Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Bw. Bahame Nyanduga akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya Jesshi la Polisi za kuwapiga na kuwazalilisha Viongozi na Wafuasi wa CUF huko Mtoni Mtongani Temeke, Dar es saSalaam. Picha na Eliphace Marwa-MAELEZO

No comments:

Post a Comment