Matukio : Mkuu wa Kitengo cha Masoko cha Taasisi ya Utoaji Mikopo ya (UTT Microfinance Institution – UTT MFI) Akiwaeleza Walimu Fursa za Mikopo - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 28 May 2015

Matukio : Mkuu wa Kitengo cha Masoko cha Taasisi ya Utoaji Mikopo ya (UTT Microfinance Institution – UTT MFI) Akiwaeleza Walimu Fursa za Mikopo

Mkuu wa Kitengo cha Masoko cha Mfuko wa cha Taasisi ya  utoaji mikopo  (UTT Microfinance Institution – UTT MFI)  ,Mary Kipeja akiwaeleza Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) fursa za upatikanaji wa mikopo zilizoko katika taasisi hiyo  jijini Arusha jana katika Mkutano mkuu wa chama hicho.
Mmoja wa MAAFISA Masoko cha Mfuko wa Taasisi ya  utoaji mikopo  (UTT Microfinance Institution – UTT MFI) akiwaeleza Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) fursa za upatikanaji wa mikopo zilizoko katika taasisi hiyo  jijini Arusha jana katika Mkutano mkuu wa chama hicho.Picha na Ferdinand Shayo wa Wazalendo 25 Blog

No comments:

Post a Comment