Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya, John Michael
Haule, wakati Balozi huyo alipofika Osifini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es
Salaam, kwa ajili ya kumuaga leo
WANAMICHEZO MEI MOSI WACHANGIA WAHITAJI VITU VYA SH. 11,557,000
-
*Na Eleuteri Mangi, Arusha *
*Wanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha
wamefanya matendo ya huruma kwa kutoa fedha na vitu...
31 minutes ago
No comments:
Post a Comment