Daktari
Bingwa wa Mifupa wa Taasisi hiyo Dk. Edmund Ndalama (kulia)
akizungumza na Madkt. Bingwa tota Nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania na
Marekani ambapo lengo ni kubadilishana ujuzi kwa Nadharia na Vitendo na
unatarajia kumalizika 29-Mei 2015
Dokt. Zehrabanu Zulfikar akizungumza na Madkt. wakati wa Mkutano huo
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa,ajali na upasuaji wa Ubongo na
Mishipa ya Fahamu (MOI) Dokta Othman Kiloloma (kulia) akisalimiana na
Dkt. Bingwa na Rais wa Fracture Care International Dkt Lewis Zirkle,
ambaye ametoa msaada kwa Hospitali 10 za Tanzania ikiwemo na Taasisi ya
Mifupa, ambapo kila chuma kimoja ni Dola 600/= na Moi hadi sasa
imesaibiwa Vyuma 4000
Madkt. wakifatilia kwa makini
Wakifatilia jambo kwa Umakini mkubwa
Dkt.
Bingwa na Rais toka Marekani na Muasisi wa Fracture Care
International, Dkt Lewis Zirkle (kulia) akiwa na Dkt. Bingwa wa Taasisi
ya Mifupa Moi Dk. Rabi Ndeserua
Dk. Edmund Ndalama (mbele) akiwa na madkt. Bingwa wa Mifupa wakifatilia jambo wakati wa Mkutano huo
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa,ajali na upasuaji wa Ubongo na
Mishipa ya Fahamu (MOI) Dokta Othman Kiloloma (kushoto) akifatiliajambo
wakati wa mkutano huo wa madkt. wa Mifupa kwenye Mkutano huo wakati
alipokuwa akizungumza Dkt. Bingwa na Rais wa Fracture Care
International toka Marekani na Muasisi Dkt Lewis Zirkle, Madaktari Bingwa wa Taasisi ya Mifupa na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) wakishirikiana na madaktari bingwa
Makt. wakiwa katika picha ya pamoja Baada ya kufanya Upasuaji wa Mifupa kwa mgonjwa
Dkt.
wa Mifupa Moi Dkt. Billy Haonga akielekeza jambo kwa madkt. Bingwa
wenzake toka Nchi mbalimbali kabla ya kumfanyia mgonjwa mwingine
Wauguzi wa Taasisi ya Mifupa Moi wakimwangalia mgonjwa kwa ukaribu baada ya kufanyiwa Upasuaji katika Taasisi hiyo
Dkt.
Bingwa na Rais wa Fracture Care International toka Marekani na
Muasisi Dkt Lewis Zirkle (kulia), akijadiliana na Madkta wenzake kabla
ya Kumfanyia mgojwa huyo
Dkt.
Bingwa na Rais wa Fracture Care International toka Marekani na
Muasisi Dkt Lewis Zirkle (wa pili kushoyo), akijadiliana na Madkta
wenzake kabla ya Kumfanyia mgojwa huyo wakipitia Fail lake
Madaktari
Bingwa wa Mifupa wakijisajili kabla ya kuanza Mkutano wao wa Tatu.
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa UJIJIRAHAA BLOG
No comments:
Post a Comment