Wanawake na Maendeleo : Mama Tunu Pinda na Taasisi ya TRUMARK Walivyonogesha Siku ya wanawake Duniani - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Sunday 15 March 2015

Wanawake na Maendeleo : Mama Tunu Pinda na Taasisi ya TRUMARK Walivyonogesha Siku ya wanawake Duniani

 Mama Tunu Pinda akiongoza zoezi la ukataji keki katika hafla ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Trumark yenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam. kushoto ni Mkurugenzu wa Trumark, Bi Agnes Mgongo.
 Mama Tunu Pinda akiteta jambo na Advocate Sophia Mgongo  Mama Mzazi wa Mkurugenzi wa Trumark.
 Mama Pinda akiwa na Mkurugenzi wa Trumark Bi. Agnes Mgongo wakisiliza mada mbalimbali.
 MamaTunu Pinda akikagua maonyesho ya biashara. Kulia kwake ni  Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Mboni Mhita na kushoto kwake ni Mke wa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mama Wiliam Lukuvi.
 Mama Tunu Pinda na DC wa Mufindi Mboni Mhita wakiongoza mnada wa kuuza nguo kwa ajili ya kuwasaidia wasichana.
 Hapa ni picha ya pamoja na mgeni rasmi mama Tunu Pinda. Hakuna hata mmoja anayechukiza ni furaha tupu...wamependeza.
 Ni staili mbalimbali mmewaona?
 Mwanamuziki Nyota Waziri (katikati), akipagawisha kwenye 
hafla hiyo. 
 Hapa ni kuserebuka kwa kusonga mbele.
 Hakika wanawake walipendeza mbona ni raha tupu 'Hongera Trumark kwa kuwakumbuka wanawake katika siku yao hiyo muhimu'
Sebene limekolea ni furaha tupu.

No comments:

Post a Comment