Burudani : Uzinduzi cha chama NETEVE kinachojihusisha na mambo ya utamaduni wa Afrika nchini Ubelgiji - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Monday 16 March 2015

Burudani : Uzinduzi cha chama NETEVE kinachojihusisha na mambo ya utamaduni wa Afrika nchini Ubelgiji


 Mheshimiwa Tim Vandenput Meya wa kitongoji cha Hoeilaart nchini Ubelgiji akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa chama cha NETEVE. Wa kwanza kushoto ni Rais wa chama hicho Madame Oliva Butoyi akishuhudia uzinduzi huo. Wengineo ni wanachama wanaounda umoja huo. Neteve ni chama kinachojihusisha na mambo ya tamaduni za nchi mbalimbali toka barani Africa.
Wanachama wa Neteve wakipiga makofi kushangilia uzinduzi rasmi wa umoja wao pale Mheshimiwa Tim Vandenput alipokata utepe kukizundua chama hicho rasmi.
Kikundi cha ngoma cha Amahoro kutoka Rwanda kikitumbuiza kwenye sherehe za uzinduzi wa chama cha Neteve nchini Ubelgiji 
Wasichana warembo wa Amahoro Music Dance wakifanya yao katika sherehe za uzinduzi wa chama cha Neteve[Picha na maelezo toka Maganga One Blog].
Wageni waalikwa toka mataifa mbalimbali wakiendelea kupata yanayojiri kwenye uzinduzi huo.
Rais wa chama cha Neteve akitoa hotuba ya kukitambulisha chama chao muda mfupi baada ya uzinduzi.[Picha na maelezo toka Maganga One Blog].

No comments:

Post a Comment