Teknolojia : PUSH MOBILE MEDIA Yazindua Huduma ya Kurahisisha Mawasiliano - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 12 March 2015

Teknolojia : PUSH MOBILE MEDIA Yazindua Huduma ya Kurahisisha Mawasiliano


 Mkurugenzi Mtendaji wa Push Mobile Media, Freddie Manento akifafanua jambo kuhusiana na huduma ya ‘Online Bulk Messaging’ inavyofanya kazi. Huduma hiyo itamwezesha mtumiaji kutuma ujumbe mmoja kwa watu wengi na katika muda muafaka.
Mkuu wa Mauzo na Masoko wa kampuni ya Push Mobile Media Limited, Ezekiel Mukundi (Kulia) akielezea umuhimu wa  huduma  ya “online bulk Messaging’ kwa sekta mbalimbali. Kushoto ni Daniel Buchafwe ambaye ni Mkuu wa Idara ya Ufundi.
Mkuu wa Idara ya Ufundi wa  Kampuni ya Push Mobile Media Daniel Buchafwe akielezea jinsi ya huduma ya  “online bulk messaging” inavyofanyakazi. Kulia ni Mkuu wa Mauzo na Masoko wa kampuni ya Push Mobile Media Limited, Ezekiel Mukundi.

No comments:

Post a Comment