Kupotikana kwa Passport :GLADNESS MARTIN BRUSH Pasipoti Yako na Vitambulisho Vingine Vimeokotwa - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


12 Mar 2015

Kupotikana kwa Passport :GLADNESS MARTIN BRUSH Pasipoti Yako na Vitambulisho Vingine Vimeokotwa



BI GLADNESS MARTIN BRUSH PASIPOTI YAKO NA VITU VYAKO VINGINE AMBAVYO ULIPOTEZA AMA KWA KUDONDOSHA AU KUPORWA POCHI YAKO BASI HATI YAKO HIYO NA VITU VINGINE MBALIMBALI VIMEOKOTWA NA VIPO KATIKA MIKONO SALAMA.

YEYOTE ANAE MFAHAMU MHUSIKA AME TAARIFA AFIKE OFISI YA MTENDAJI KATA-TABATA MSIMBAZI SOKONI, ATAKABIDHIWA. 

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0713624583 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad