Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada
la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Zambia Michael Sata aliyefariki
mwaka jana katika eneo la maziko ya viongozi wa kitaifa jijini Lusaka
Zambia Jana.Rais Kikwete alitumia wasaa huo pia kuweka shada la maua katika
marais wa Zambia waliofariki Marehemu Frederick Chiluba na Levy Mwanawasa.
Picha na Freddy Maro
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Movies, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
WANANCHI NCHINI BURUNDI WAKO TAYARI KWA SGR
-
*Shirika la Reli Tanzania (TRC), limefanya ziara ya nchini Burundi na
kukutana na wadau mbalimbali kufuatia kutiwa saini utekelezaji wa Mradi wa
SGR awam...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
No comments:
Post a Comment