Siasa Zetu :Diwani wa Kata ya Mlangarini Mhe. Mathias Manga Afunga Kampeni za Uchaguzi Katani Kwake - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Saturday, 13 December 2014

demo-image

Siasa Zetu :Diwani wa Kata ya Mlangarini Mhe. Mathias Manga Afunga Kampeni za Uchaguzi Katani Kwake

20141212_150512
Diwani wa kata ya Mlangarini, Mhe Mathius Manga,  akizungumza na wananchi wa kata hiyo katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa CCM kwa ajili ya kuwachagua viongozi wa  serikali za mitaa utakaofanyika jumapili Desemba 14 mwaka huu.
Diwani Manga amewaasa wananchi wote kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa CCM kwani wanasifa stahiki za kuwaongoza. 
Aidha amesisitiza kulimnda amani kipindi cote cha uchaguzi na hata matokeo yatakapo tangazwa na kuepuka vitendo vya vurugu. 
20141212_145302
20141212_145327
 Wananchi wa kata ya Manyire wakimsikiliza diwani wa kata hiyo hayupo pichani wakati wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa serukali za mitaa.
20141212_150552
 Diwani wa kata ya mlangarini Mathius Manga akizungumza huku makada wa CCM wakicheza kwa furaha.
20141212_145146
 Viongozi wa CCM wakiwa katika mkutano huo.
20141212_145239
 Diwani wa kata ya mlangarini Mathius Manga akiwa na viongozi wenzake wa CCM katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *