
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na baadhi ya
viongozi wa CCM baada ya kuwasili katika mkutano wa kufunga kampeni za
Uchaguzi wa serikali za Mitaa za Jimbo la Ilala, Dar es Salaam, leo
jioni

Wana CCM wakimshangilia Nape alipowasili kwenye mkutano huo

Wananchi wakimshangilia Nape alipowasili kwenye mkutano huo

Nape akiwa Jukwaa Kuu pamoja na viongozi wa CCM baada ya kuwasili kwenye mkutano huo

Lwiza Mbutu akiongoza bendi ya Twanga Pepeta kutumbuiza baada ya kuwasili Nape kwe ye mkutano huo

Katibu
wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Abilahi Mihewa akisalimia wananchi wa
Jimbo la Ilala waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano huo wa kufunga
kampeni za serikali za mitaa

Kada
wa CCM Haji Manara akiwasalimu wakazi wa Jimbo la Ilala wakati wa
mkutano huo. wa kufunga kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa
uliofanyika kwenye makutano ya mtaa wa Kongo na Faru ambapo aliwaambia
wananchi hao kuwa jimbo la Ilala ni sehemu salama sana kwa CCM kwa kuwa
jimbo hilo lina historia ya CCM

Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Ramadhani Madabida akisalimia wananchi wa
Jimbo la Ilala wakati wa mkutano huo wa kufunga kampeni za uchaguzi wa
serikali za mitaa jimbo la ilala uliofanyika kwenye makutano ya mtaa wa
Kongo na Faru.

Mbunge
wa Jimbo la Ilala Azani Zungu akilonga jukwaani, ambapo aliwataka
watendaji wa serikali kuacha kuwabunghudhi mamalishe wa jimbo hilo kwa
kuwa ni eneo la biashara tu, hivyo watendaji hao watengeneze mazingira
mazuri badala ya timua timua ya mara kwa mara

Nape akihutubia kwenye mkutano huo

Nape akihutubia wananchi kwenye mkutano huo na ifuatayo ni habari kamili ya alichosema

Nape
akimkaribisha jukwaani Gungu Mohamed Tambaza, mgombea wa Uenyekiti mtaa
wa Mtambani B ili kuomba kura kwa niaba ya wagombea wenzake wa jimbo la
Ilala wakati wa mkutano huo wa kufunga kampeni za serikali za mitaa
uliofanyika leo kwenye makutano ya mtaa wa Kongo na Faru.

Nape akimsikiliza Gungu Mohamed Tambaza akiomba kura

Kada wa CCM Khamis Mkotya akimpongeza Nape wakati wa mkutano huo

Nape akimpongeza Haji Manara

Mkotya na Zungu

Mkotya na makada wengine wa CCM wakifuatilia

Shamrashamra uwanjani baada ya mkutano. Picha zote na Bashir Nkoromo
No comments:
Post a Comment